asiudhiwe Mtume s.a.w. au Waumini wanaume au wanawake,
33:57-58;
hakikisha ukweli wa khabari kabla hujaamini,
49:6;
katika jamii, 49:11;
katika mikutano, 58:11;
katika nyumba za Mtume s.a.w.,
33:53;
kums'alia na kumsalimu Mtume s.a.w.
33:56;
mbele ya Mtume s.a.w.,
24:62-63; 49:1-5;
ndani ya nyumba, 24:58-61;
wakati wa kuingia majumbani,
24:27-29;
Akhera, binaadamu lazima akutane na Mwenyezi Mungu,
6:31,
bora kuliko fedha na dhahabu,
43:33-35;
bora kuliko haya ya leo,
93:4;
ghadhabu ya Mwenyezi Mungu,
6:40-41; 12:107;
hapana wa kuwaombea walio ipuuza Akhera,
7:53;
inakanywa na binaadamu, 50:12-14;
majabari na wanyonge huko, 14:21;
Manabii na walio fikishiwa Ujumbe watasailiwa,
7:6;
Moto na Jahannam zitabaki milele ila apendavyo Mwenyezi
Mungu, 11:107-108;
Nyumba ya, (Darul aakhirah),
28:83; 29:64;
Nyumba ya Amani, 6:127;
si uwongo, 6:31;
vitendo vitapimwa, 7:8-9;
wakosefu hawatafanikiwa, 6:135;
wakosefu wataomba muhula, 14:44-46;
Ishara za Mwenyezi Mungu, hapana Ishara maalumu ya kutolewa,
6:109; 10:20; 13:7;
17:59; 21:506;
hukanywa au hufanyiwa maskhara,
45:8-9;
iliyo wazi kabisa, ni Qur'ani,
29:49-51;
Ishara ya ufalme wa T'aluti,
2:248;
katika maisha haya, 39:59;
katika pande za mbali kabisa, na katika nafsi zao,
41:53;
katika uumbaji wa mbingu na ardhi,
2:164; 3:190;
katika uumbaji wote, 10:5-6;
30:20-27; 45:3-6;
kuumbwa mtu kutokana na mbegu ya uzazi, 56:57-59;
kuzikataa Ishara, 3:11,
3:108;
majahili wazidai, kwa Waumini ni dhaahiri,
2:118;
maji, 56:68-70;
malipo ya ukanushi,
7:36-41, 7:146-147;
marikebu, 31:31;
mauti, 56:68-70;
mbegu katika ardhi, 56:63-67;
mchana na usiku ni Ishara,
17:12;
moto, 56:71-73; ngamia, mbingu, milima, ardhi,
88:17-20;
pepo na marikebu, 30:46;
42:32-35;
Safina ya Nuh'u na Gharika, na marikebu kama hiyo,
36:41-44;
usiku, jua na mwezi, 36:37-40;
wakanushao hutafuta kila udhuru,
6:156-158;
wakanushi wakosa uwongofu,
6:186;
wakanushi wanazidhuru roho zao,
7:177
Transfer interrupted!
apata muhula,
7:182;
wanao kataa, vipofu na viziwi, wamo kizani,
6:39;
waovu ndio hudai Ishara makhsusi,
6:124;
zakejeliwa, 68:15;
zawekwa wazi ili watu wazingatie,
2:219-220;
zimo katika vitu vyote,
6:95-99;