Al As'r Tarjuma ya Quran Tukufu kwa kiswahili
103.Surat Al-A's'r

Imeshuka Makka Ina aya 3
Utangulizi Orodha ya Sura Faharasa

KWA JINA LA MWENYEEZI MUNGU MWINGI WA REHEMA MWENYE KUREHEMU 0


1. Naapa kwa Zama! 1


2. Hakika binaadamu bila ya shaka yumo katika khasara, 2


3. Ila wale walio amini, na wakatenda mema, na wakausiana kwa haki, na wakausiana kusubiri. 3


Sura Nyingine Faharasa

Chagua Sura Nyingine:

Imetarjumiwa na Sheikh Ali Muhsin Al-Barwani
Ikiwa una ushauri au maoni juu ya tarjuma hii, andika kwa anwani hii qurani-tukufu@geocities.com 
Copyright © 22 August 1997, Sheikh Ali Muhsin Al Barwani