113.Surat Al-Falaq |
Imeshuka Makka | Ina aya 5 |
Utangulizi | Orodha ya Sura | Faharasa |
KWA JINA LA MWENYEEZI MUNGU MWINGI WA REHEMA MWENYE KUREHEMU 0
1. Sema: Najikinga kwa Mola Mlezi wa mapambazuko, 1
2. Na shari ya alivyo viumba, 2
3. Na shari ya giza la usiku liingiapo, 3
4. Na shari ya wanao pulizia mafundoni, 4
5. Na shari ya hasidi anapo husudu. 5
Sura Nyingine | Faharasa |