Kwa jina la Mwenyeezi Mungu Mwingi wa Rehema Mwenye Kurehemu
Maelezo: Suuratul Qiyama

Utangulizi:

Rudi kwenye sura

* 1,2,3. Ninaapa na natilia mkazo kiapo hichi kwa Siku ya Kiyama, na hiyo ni kweli iliyo thibiti; na ninaapa na natilia mkazo kiapo hichi kwa nafsi inayo mlaumu mtu kwa dhambi zake na upungufu wake, ya kwamba bila ya shaka yoyote mtafufuliwa baada ya kukusanywa mafupa yenu yaliyo tawanyika. Hivyo mtu anadhani baada ya kuwa Sisi tulimuumba naye hakuwa kitu chochote, tutakuja shindwa kuyakusanya mafupa yake yaliyooza na yakatapanyika?

* 4. Hasha! Sisi tuna uweza wa kuviweka sawa hata vifupa vya vidole vyake vilivyo vurugika, wachilia mbali mafupa yake makubwa makubwa ya mwili wake.
Rudi kwenye sura

*5. Hivyo mtu anakanya kufufuliwa? Anataka abakie katika uasi wake katika siku zote zilizo mbakilia katika umri wake ulio salia?
Rudi kwenye sura

* 6. Anauliza kwa kuona haiwezi kutokea saa ya Kiyama: Lini itakuwa hiyo Siku ya Kiyama?
Rudi kwenye sura

* 7,8,9,10. Jicho litapo tahayari kwa kufazaika na kushtuka, na mwangaza wa mwezi ukapotea, na jua likakusanyika na mwezi kuchomoza magharibi, mtu hapo atasema: Yako wapi makimbilio kuikimbia hii adhabu?

* 11,12. Huachi, ewe mtu, kutafuta makimbilio? Leo huna pa kukimbilia wewe, ila kwa Mola wako Mlezi peke yake, ndipo penye matulivu ya waja, Peponi au Motoni.

* 13. Siku hiyo mtu ataambiwa vitendo vyake alivyo vitanguliza na alivyo viakhirisha.
Rudi kwenye sura

* 14,15. Bali mtu yeye mwenyewe ni hoja iliyo wazi juu ya nafsi yake inayo mkazania kwa anayo yatenda na anayo yaacha. Na ijapo kuwa atajitolea chungu nzima ya udhuru na akazieneza, hawezi kabisa kuepukana na hoja hizo.

* 16,17. Usiuharikishe ulimi wako kwa kuisoma Qur'ani na kujaribu kuihifadhi kwa haraka pale unapo teremshiwa kwa Wahyi. Hakika ni juu yetu Sisi kuikusanya hiyo katika kifua chako, na kuithibitisha katika ulimi wako.

* 18,19. Akikusomea Mjumbe wetu (Jibril) basi nawe ifuatilize kama unavyo isikia. Kisha baada ya hayo ni juu yetu kuibainisha ikiingia tatizo lolote juu yako.

* 20,21. Wacheni kukanya kufufuliwa, na hilo ni jambo la kweli. Lakini nyinyi mnaipenda dunia na starehe zake, na mnaiacha Akhera na neema zake.

* 22,23. Siku hiyo zitakuwapo nyuso nzuri, zenye kumwangalia Mola wao Mlezi bila ya kusema kwa sifa gani, wajihi gani, au masafa gani.

* 24,25. Na nyuso nyengine zitakuwapo zimenuna, zimekunjana mno, zinangojea zitendewe jambo ambalo kwa kitisho chake linavunja uti wa mgongo.

* 26,27,28,29,30. Mna nini na kuipenda dunia ambayo mnaifariki roho inapo fika katika mafupa ya kooni, na walio hudhuria wakasema: Yupo wa kumganga huyu kwa haya aliyo nayo? Akayakinisha yule yaliyo mfika mauti kama lililo mshukia ni kuiacha dunia inayo pendwa, na imekwisha mfika shida yake kikomo cha mwisho. Na muundi wa mguu umekwisha ambatana na wa pili wakati wa kutoka roho. Kwa Mola wako Mlezi tu siku hiyo ndio machungio ya waja, ama Peponi au Motoni.

* 31,32,33. Binaadamu amekanya kufufuliwa, na kwa hivyo hakumsadiki Mtume wala Qur'ani. Wala hakumtimizia Mwenyezi Mungu faridha za Sala. Lakini aliikadhibisha Qur'ani, akaipuuza Imani, na akatoka kwenda kwa watu wake wa nyumbani kwa maringo na kujitapa.

* 34,35. Ewe unaye kadhibisha, utaangamia! Tena utaangamia! Na tena utaangamia, na utaangamia!

* 36. Hivyo anadhani huyu mtu anaye kanya kufufuliwa kuwa ataachwa hivi hivi akiringa tu katika maisha yake, na akisha kufa iwe basi, wala asifufuliwe akahisabiwa kwa vitendo vyake?
Rudi kwenye sura

* 37,38. Kwani yeye mtu hakuwa ni tone tu ya manii, ilio jaaliwa kuwemo katika tumbo la uzazi? Kisha hiyo tone ikawa kipande cha damu iliyo ganda, na Mwenyezi Mungu akaiumba, akaisawazisha mpaka ikawa na umbo zuri?

* 39. Akajaalia namna mbili, mwanamume na mwanamke?
Rudi kwenye sura

* 40. Je! Huyo Muumba wa mwanzo aliye fanya yote haya, basi si muweza wa kuwahuisha maiti baada ya kuyakusanya mafupa yao?
Rudi kwenye sura

Copyright © 22 August 1997, Sheikh Ali Muhsin Al Barwani