Al Fiil Tarjuma ya Quran Tukufu kwa kiswahili
105.Surat Al-Fiil

Imeshuka Makka Ina aya 5
Utangulizi Sura Nyingine Faharasa

KWA JINA LA MWENYEEZI MUNGU MWINGI WA REHEMA MWENYE KUREHEMU 0


1. Kwani hukuona jinsi Mola wako Mlezi alivyo watenda wale wenye tembo? 1


2. Kwani hakujaalia vitimbi vyao kuharibika? 2


3. Na akawapelekea ndege makundi kwa makundi, 3


4. Wakiwatupia mawe ya udongo wa Motoni, 4


5. Akawafanya kama majani yaliyo liwa! 5


Sura Nyingine Faharasa

Chagua Sura Nyingine:

Imetarjumiwa na Sheikh Ali Muhsin Al-Barwani
Ikiwa una ushauri au maoni juu ya tarjuma hii, andika kwa anwani hii qurani-tukufu@geocities.com 
Copyright © 22 August 1997, Sheikh Ali Muhsin Al Barwani