| 106.Surat Quraish |
| Imeshuka Makka | Ina aya 4 |
| Utangulizi | Orodha ya Sura | Faharasa |
KWA JINA LA MWENYEEZI MUNGU MWINGI WA REHEMA MWENYE KUREHEMU 0
1. Kwa walivyo zoea Maqureshi, 1
2. Kuzoea kwao safari za siku za baridi na siku za joto. 2
3. Basi nawamuabudu Mola Mlezi wa Nyumba hii, 3
4. Ambaye anawalisha wasipate njaa, na anawalinda na khofu. 4
| Sura Nyingine | Faharasa |