1.Surat AnNas'r |
Imeshuka Madina | Ina aya 3 |
Utangulizi | Orodha ya Sura | Faharasa |
KWA JINA LA MWENYEEZI MUNGU MWINGI WA REHEMA MWENYE KUREHEMU 0
1. Itakapo kuja nusura ya Mwenyezi Mungu na ushindi, 1
2. Na ukaona watu wanaingia katika Dini ya Mwenyezi Mungu kwa makundi, 2
3. Zitakase sifa za Mola wako Mlezi, na umwombe msamaha; hakika Yeye ndiye anaye pokea toba. 3
Sura Nyingine | Faharasa |