Al Ma'un maelezo
Kwa jina la Mwenyeezi Mungu Mwingi wa Rehema Mwenye Kurehemu
Maelezo: Suuratul Ma'un

Utangulizi:

Rudi kwenye sura

* 1. Unamjua anaye kanusha malipo na hisabu ya Akhera?
Rudi kwenye sura

* 2,3. Ukitaka kumjua basi ni huyo ambaye anaye msukuma yatima kwa nguvu, na anamtumilia mabavu, na anamdhulumu, na wala hahimizi kulishwa masikini.
Rudi kwenye sura

* 2,3. Ukitaka kumjua basi ni huyo ambaye anaye msukuma yatima kwa nguvu, na anamtumilia mabavu, na anamdhulumu, na wala hahimizi kulishwa masikini.
Rudi kwenye sura

* 4,5. Maangamio yatawashukia wanao sali na wakasifika kwa sifa hizi, na wakaghafilika na Sala zao wasinafiike nazo.
Rudi kwenye sura

* 4,5. Maangamio yatawashukia wanao sali na wakasifika kwa sifa hizi, na wakaghafilika na Sala zao wasinafiike nazo.
Rudi kwenye sura

* 6. Ambao huonyesha kwa watu vitendo vyao, ili wapate cheo katika nyoyo za hao watu, na wasifiwe.
Rudi kwenye sura

* 7. Na huku wanazuia hisani zao na msaada wao kwa watu
Rudi kwenye sura

Copyright © 22 August 1997, Sheikh Ali Muhsin Al Barwani