Al Kawthar maelezo
Kwa jina la Mwenyeezi Mungu Mwingi wa Rehema Mwenye Kurehemu
Maelezo: Suuratul Kawthar

Utangulizi:

Rudi kwenye sura

* 1. Sisi hakika tumekupa kheri nyingi za daima katika dunia na Akhera.
Rudi kwenye sura

* 2. Ilivyo kuwa umepewa hayo, basi dumisha Sala kwa Mola wako Mlezi kwa usafi kabisa, na uchinje dhabihu wako kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa aliyo kupa ya ukarimu, na akakukhusisha wewe khasa kwa kukupa kheri.
Rudi kwenye sura

* 3. Hakika huyo anaye kuchukia ndiye aliye katika na kila kheri.
Rudi kwenye sura

Copyright © 22 August 1997, Sheikh Ali Muhsin Al Barwani