Att'ur maelezo
Kwa jina la Mwenyeezi Mungu Mwingi wa Rehema Mwenye Kurehemu
Maelezo: Suuratul Att'ur

Utangulizi:

Rudi kwenye sura

* 1,2,3,4,5,6. Ninaapa kwa mlima wa T'ur ulioko katika Sinai. Kwenye mlima huo ndio Nabii Musa a.s. alisemezwa. Na naapa kwa Kitabu kilicho teremshwa kutoka kwa Mwenyezi Mungu kilicho andikwa katika kurasa zilio nyepesi kuzisoma, na kwa Nyumba iliyo jengwa kwa sababu ya wenye kuizunguka kwa ibada na wenye kusimama na kurukuu na kusujudu kwa Sala, na naapa kwa mbingu iliyo nyanyuliwa bila ya nguzo, na bahari iliyo jaa.

* 7,8. Hakika adhabu ya Mola wako Mlezi waliyo ahidiwa makafiri bila ya shaka itawateremkia hapana hivi wala hivi. Hapana wa kuizuia isiwafikilie.
Rudi kwenye sura

* 7,8. Hakika adhabu ya Mola wako Mlezi waliyo ahidiwa makafiri bila ya shaka itawateremkia hapana hivi wala hivi. Hapana wa kuizuia isiwafikilie.
Rudi kwenye sura

* 9,10. Siku mbingu itapo tikisika kwa mtikiso mkubwa, na milima itapo ng'oka kutoka hapo ilipo kwa kuonekana khasa.
Rudi kwenye sura

* 9,10. Siku mbingu itapo tikisika kwa mtikiso mkubwa, na milima itapo ng'oka kutoka hapo ilipo kwa kuonekana khasa.
Rudi kwenye sura

* 11,12. Maangamio makubwa yatawapata siku hiyo hao wanao kadhibisha Haki, ambao katika upotovu ndio mchezo wao wanapo chezea.
Rudi kwenye sura

* 11,12. Maangamio makubwa yatawapata siku hiyo hao wanao kadhibisha Haki, ambao katika upotovu ndio mchezo wao wanapo chezea.
Rudi kwenye sura

* 13. Siku watakapo sukumwa kuingizwa Motoni kwa nguvu.
Rudi kwenye sura

* 14. Wataambiwa: Huu ndio Moto mlio kuwa mkiukanusha duniani.
Rudi kwenye sura

* 15. Je! Bado mnaendelea kuukanya. Huu Moto mnao uona ni uchawi, au hamwoni tu?
Rudi kwenye sura

* 16. Uingieni, mpate kuonja vukuto lake. Mkivumilia shida zake, au mkitovumilia, kwenu ni mamoja. Hakika leo mtayakuta mliyo kuwa mkiyatenda duniani.
Rudi kwenye sura

* 17. Hakika wachamngu watakuwa katika Mabustani yenye wasaa, hapana awezae kuyaeleza yalivyo, na neema kubwa kadhaalika.
Rudi kwenye sura

* 18. Wakistarehe na neema alizo wapa Mola wao Mlezi, na Mola wao Mlezi akawalinda na adhabu ya Moto.
Rudi kwenye sura

* 19. Wataambiwa: Kuleni chakula mpendacho, na kunyweni kwa raha, kuwa ni malipo ya vitendo mlivyo vitenda duniani.
Rudi kwenye sura

* 20. Wakikaa nao wameegema juu ya makochi yaliyo pangwa kwa safu. Na tutawaoza wake weupe wenye macho ya vikombe wazuri.
Rudi kwenye sura

* 21. Na walio amini, na wakastahiki vyeo vya juu, na vizazi vyao wakawafuata katika Imani, na wao hawajafikia daraja zile za baba zao, tutawakutanisha nao hao dhuriya zao, wapate kutulia nyoyo zao. Na wala hatuwapunguzii chochote katika thawabu za vitendo vyao. Wala wazazi hawatobeba chembe katika makosa ya dhuriya zao. Kwa sababu kila mtu amefungamana kwa rahani na vitendo vyake visio bebwa na mwenginewe.
Rudi kwenye sura

* 22. Na tutawazidishia matunda mengi, na nyama kama waipendayo.
Rudi kwenye sura

* 23. Huko Peponi watakuwa wakipeana kwa mapenzi bilauri zilio jaa vinywaji visio leta maneno yasiyo na maana wala vitendo vya dhambi, yaani havilevi na kuondoa akili.
Rudi kwenye sura

* 24. Na watakuwa wakiwapitia vijana walio wekwa kwa kuwatumikia, kwa weupe wao na usafi wao kama lulu iliomo ndani ya chaza.
Rudi kwenye sura

* 25. Na watu wa Peponi watakabiliana wakiulizana wao kwa wao khabari za hayo mambo makuu wanayo yapata na sababu zake.
Rudi kwenye sura

* 26,27. Kabla ya neema hizi sisi tulikuwa pamoja na ahali zetu tukiiogopa adhabu ya Mwenyezi Mungu. Mwenyezi Mungu akatufadhili kwa rehema yake, na akatukinga na adhabu ya Moto.

* 28. Hakika sisi kabla ya haya tulikuwa duniani tukimuabudu Yeye tu. Yeye peke yake ndiye Mhisani Mkunjufu wa rehema.
Rudi kwenye sura

* 29. Wewe endelea na kukumbusha kama unavyo fanya. Kwani wewe, kwa neema ya Mwenyezi Mungu aliyo kuneemesha kukupa Unabii na akili iliyo timia, si kuhani anaye toa khabari za ghaibu bila ya ilimu, wala si mwendawazimu unaye sema usiyo yasadiki.
Rudi kwenye sura

* 30,31. Bali ati wanasema huyu ni mtunga mashairi, tunaye mngojea afikiwe na mauti! Waambie kwa kuwatisha: Ngojeeni, na mimi nami ni katika wanao ngojea mwisho wa hali yangu na hali yenu!

* 32. Bali ndio akili zao zinawaamrisha waseme maneno hayo yanayo gongana. Kwani kohani na mtunga mashairi ni watu wenye fahamu na akili; na mwendawazimu hana akili. Lakini hawa ni watu walio pita mipaka katika inadi zao.
Rudi kwenye sura

* 33. Bali ati wanasema: Muhammad ameizua hii Qur'ani! Bali hawa kwa ukaidi wao hawaamini tu.
Rudi kwenye sura

* 34. Basi nawalete masimulizi kama haya ya Qur'ani, ikiwa wao ni wasema kweli kuwa Muhammad kaizua.
Rudi kwenye sura

* 35. Kwani wao wameumbwa bila ya kuweko Muumbaji, au wao wamejiumba wenyewe, basi kwa hivyo ati ndio hawamtambui Muumbaji wa kumuabudu?
Rudi kwenye sura

* 36. Kwani wao ndio walio ziumba mbingu na ardhi kwa uumbaji mzuri wa pekee wa namna hii? Bali wao hawana na yakini na lolote lilio mwajibikia Muumbaji. Na kwa hivyo ndio wanamshirikisha.
Rudi kwenye sura

* 37. Kwani wao wanazo khazina za Mola wako Mlezi wanazo zisarifu watakavyo? Au wana nguvu za kutenda watakavyo, na kupanga mambo kama wapendavyo?
Rudi kwenye sura

* 38. Bali wanacho kipandio cha kupandia mpaka mbinguni wakasikiliza anayo yahukumia Mwenyezi Mungu? Kama hivyo, basi nawamlete huyo mtu wao anaye sikiliza atoe hoja iliyo wazi kuthibitisha madai yake.
Rudi kwenye sura

* 39. Ati Mwenyezi Mungu ndiye mwenye mabinti, kama mnavyo zua, na nyinyi ndio mna watoto wa kiume kama ndio mnavyo penda?
Rudi kwenye sura

* 40. Kwani wewe unawaomba chochote kuwa ni ujira wa kuwafikishia Ujumbe wako, ndio wamethakilika na hizo gharama wakalalimika?
Rudi kwenye sura

* 41. Bali kwani wao wanao ujuzi kujua mambo ya ghaibu, yaliyo fichikana, na hivyo wanaandika kutoka hayo wayatakayo?
Rudi kwenye sura

* 42. Au wanataka kukufanyia vitimbi tu na kuuharibu Ujumbe wako? Basi hao walio kufuru ndio wanao stahiki kutumbukia katika vitimbi vyao.
Rudi kwenye sura

* 43. Au wao wanae mungu wa kuabudiwa badala ya Mwenyezi Mungu atakae walinda na adhabu ya Mwenyezi Mungu. Mwenyezi Mungu ametakasika na hayo wanayo mshirikisha naye!
Rudi kwenye sura

* 44. Na wakiona kipande cha mbingu kinwaangukia kuwaadhibu wao husema, kwa inda tu: Ni mawingu yaliyo bebana!
Rudi kwenye sura

* 45. Waache bila ya kuwajali mpaka watakapo ikuta siku yao watapo angamizwa.
Rudi kwenye sura

* 46. Siku ambayo hila zao hazitawakinga hata na chembe ya adhabu, wala hawatapata wa kuwanusuru.
Rudi kwenye sura

* 47. Na hakika hao walio dhulumu watapata adhabu mbali na hii waliyo teseka nayo hapa duniani, lakini wengi wao hawajui hayo.
Rudi kwenye sura

* 48. Wewe isubirie hukumu ya Mola wako Mlezi ya kuwapa muhula hao, na wewe kupata maudhi yao. Kwani hakika wewe umo katika hifadhi yetu na ulinzi wetu. Basi vitimbi vyao havitokudhuru wewe. Na mtakase kwa kumsifu Mola wako Mlezi unapo amka.
Rudi kwenye sura

* 49. Na tafuta usiku usiku nafasi ya kumsabihi, yaani kumtakasa, Mwenyezi Mungu, na mtakase pia wakati zinapo kuchwa nyota, yaani alfajiri.
Rudi kwenye sura

Copyright © 22 August 1997, Sheikh Ali Muhsin Al Barwani