| 103.Surat Al-A's'r |
| Imeshuka Makka | Ina aya 3 |
| Utangulizi | Orodha ya Sura | Faharasa |

KWA JINA LA MWENYEEZI MUNGU MWINGI WA REHEMA MWENYE KUREHEMU
0

1. Naapa kwa Zama!
1

2. Hakika binaadamu bila ya shaka yumo katika khasara,
2

3. Ila wale walio amini, na wakatenda mema, na wakausiana kwa haki,
na wakausiana kusubiri.
3
| Sura Nyingine | Faharasa |