1.Surat Al-Masad |
Imeshuka Makka | Ina aya 5 |
Utangulizi | Sura Nyingine | Faharasa |
KWA JINA LA MWENYEEZI MUNGU MWINGI WA REHEMA MWENYE KUREHEMU 0
1. Imeangamia mikono ya Abu Lahab, na yeye pia ameangamia. 1
2. Hayatamfaa mali yake, wala alivyo vichuma. 2
3. Atauingia Moto wenye mwako. 3
4. Na mkewe, mchukuzi wa kuni, 4
5. Shingoni mwake iko kamba iliyo sokotwa. 5
Sura Nyingine | Faharasa |