hawajali, ijapo kuwa Hisabu imekurubia,
21:1-3;
taifa moja, 2:213;
10:19;
umbile Mwenyezi Mungu alilo waumbia watu,
30:30;
utukufu unategemea uchamngu,
49:13;
wameumbwa kutokana na jozi moja,
4:1;
39:6; 49:13;
wanaasi kwa ujeuri, 10:23;
Wanaafiqi,
haijuzu kufanya urafiki nao,
58:14-19;
hawamuamini Mungu wala Akhera,
2:8;
hufuata maasi, wakaacha Uwongofu wa Wah'yi, wakipatwa
na shida hukujia wapate ngawira, 4:70-73;
hungojea mambo yawe, wanadhani watamshinda Mwenyezi
Mungu, wamezugwa, 4:141-143;
huuza uwongofu kwa upotovu,
2:16;
katika khofu na kiza, 2:19-20;
maradhi ndani ya nyoyo zao,
2:10;
viziwi, mabubu, na vipofu,
2:17-18;
wamelaanika, hawana Imani, wameritadi, wakamatwe
na wauwawe, 4:88-89;
wana khofu wasitambulikane,
9:64-65;
wana maneno ya kuvutia, wanaongozwa na ujeuri,
2:204-206;
wanafahamiana wenyewe kwa wenyewe, wapotovu, laana
ya Mwenyezi Mungu imewapata, 9:67-69;
wanafanya fisadi, 2:11-12;
wanajidanganya wenyewe,
2:9;
wanakataa kupigania Haqi,
3:167-168;
waongo, na huficha maasi yao kwa viapo,
63:1-4;
waongo na malaghai na woga,
59:11-14;
wapumbavu na hufanya kejeli,
2:13-15;
watakuwa chini kabisa huko Motoni, hawatopata wa
kuwanusuru, 4:145;