bila ya kuingia harusi,
33:49;
halali kwa wangapi, 4:3;
ikiwa huna cha kumwolea Muumini aliye muungwana,
4:25;
mahari yasirudishwe (ikiwa t'alaka),
4:20-21;
mke akikhofu maonevu au kutupwa,
4:128;
na wanawake wa Kiyahudi na Kikristo,
5:5;
na washirikina au watumwa,
2:221;
shuruti za Mtume s.a.w.,
33:50-52; 33:28;
ukikhofu khasama, 4:35;
usimtupe mwanamke, 4:129;
Wake za Mtume s.a.w., 33:28-29,
33:50-52; 33:28;
wasio faa kuwaoa, 4:22-24;
wasioweza kuoa, 24:33;
ya walio masikini, 24:32;
ya wazinifu, 24:3;
iliyo dhaahiri, 4:174;
inaletwa na Mwenyezi Mungu ili Waumini wende sawa,
57:28;
inatangulia na kuwa nao Waumini,
57:12-15; 66:8;
mfano wa, 24:35-36;
na kiza, 6:1;
ya Mwenyezi Mungu, hawaioni makafiri,
83:15;
Nyama mwitu wasiuliwe ndani ya ardhi takatifu,
5:94-96;
Mwenyezi Mungu huwapa nguvu Waumini kwayo,
58:22;
takatifu, ilimpa nguvu Nabii Isa a.s. ,
2:87, 2:253;
ya Mwenyezi Mungu kapuliziwa mwanaadamu,
15:29;
ya ufunuo, wah'yi, 17:85-86,
katika safari au katika khatari,
4:101-104;
kwa ajili ya makafiri,
9:113-114;
ni kwa ajili ya Mwenyezi Mungu peke yake,
13:14-15;
shikeni S'ala, 2:110;
ahadi zitatimizwa, 21:97-103;
Barugumu lapulizwa, vitendo vyapimwa,
23:101-104;
dunia itabadilika, watu watakusanywa,
18:47-49;
furaha kwa waja wa Mwenyezi Mungu,
37:40-61;
furaha na amani kwa walio wema,
36:55-58;
haki itatendeka, 36:51-54;
hapana maombezi ila kwa idhini, 20:109;
hapana utetezi; haki na kweli tu,
40:18-20;
ibada ya uwongo itakashifiwa,
25:17-19;
jeuri ya watendao maovu,
37:33-36;
khitilafu kubwa baina ya wema na wapotovu,
37:88-102;
khitilafu za kimadhehebu zitasawazishwa,
19:37-39;
majuto ya watendao maovu,
25:27-30;
makaburi yatafunuka, 70:43-44;
100:9-11;
malipo ya ukamilifu ni hapo tu,
3:185;
malipo ya uovu, 37:37-39;
marafiki watakuwa maadui, isipo kuwa watendao mema,
43:66-67;
mbingu zitachanwa, Malaika watateremka, Ufalme wote
wa Mwenyezi Mungu, 25:25-26;
mbingu zitakunjwa kama karatasi, uumbaji mpya,
21:104;
mbingu zitakuwa kama shaba iliyo yayuka, rafiki
hamjui rafiki, 70:8, 70:18;
mitetemeko ya kutisha, watu kama walio lewa, Ghadhabu
ya Mwenyezi Mungu, 22:1-2;
Mizani za uadilifu, 21:47;
Mti wa Zaqqum, 37:62-68;
Sauti ya Hukumu, 23:105-111;
Siku ya Kupambanua, 30:14-16;
37:22-23;
tarumbeta litalia, watu watasongana kama mawimbi,
18:99-101;
vitisho kwa waovu, si kwa wema,
27:83-90;
wakati utaonekana mfupi,
23:112-115;
wakosefu watakata tamaa, hapana wa kuwaombea,
30:12-13;
walio wema hawana khofu,
20:112;
wanao kanya watafufuliwa vipofu,
20:124-127;
wanao shika uwongo wataangamia, wema watapata Rehema,
45:27-35;
waovu wasailiwa, kutupiana malawama,
37:22-23;
watamfuata mwenye kuwaita, husikii ila mchakato,
20:108;
watendao maovu wafuata nyayo za baba zao,
37:69-74;
wenye kukanya Ujumbe watabeba mzigo mwovu,
20:100-101;
wenye madhambi watakuwa mashakani,
20:102-104;